• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

WATOTO wa Walengwa wa TASAF kupata asilimia 100 ya Mkopo wa Chuo

Posted on: August 16th, 2022

WATOTO wa Walengwa wa TASAF wanaomaliza kidato cha Tano na kuingia Chuo kikuu wapewa kipaumbele cha Mkopo wa asilimia 100.

Hayo amesema Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Jenista Mhagama katika Halmashauri ya Madaba Wilaya ya Songea Mkoani Ruvuma.

Mhagama amemwagiza Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Sajidu Idrisa Mohamed kuhakikisha watoto wanaotoka katika kaya Masikini na kunufaika na Mradi wa TASAF wanaomaliza kidato cha Sita na kuingia chuo kikuu kupata asilimia 100 ya Mkopo pamoja na wale wanaomaliza darasa la Saba na kidato cha nne wanaofeli wahakikishe wanajiunga na Elimu ya Veta.

“Watoto wa Walengwa wa TASAF wanaomaliza kidato cha tano na kujiunga na chuo kikuu wapewe mkopo asilimia 100 na wanaomaliza Darasa la Saba na kidato cha nne wanaofeli wajiunge na VETA na Serikali itawalipia”.

Mhagama ametoa rai kwa viongozi wa Halmashauri ya Madaba kuhakikisha walengwa wanaohama ruzuku ziwafikie popote walipo isipokuwa kwa wale walioaga dunia wasitishiwe.

Hata hivyo amesema tathimini ifanyiki ikiwa kwa wale ambao wamekwisha fika katika hali nzuri wasitishiwe mradi huo wapewe wengine wanaoishi katika kaya maskini.

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanal Laban Thomas amempongeza Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwajali wananchi maskini kwa kuwapatia ruzuku ya TASAF.

“Nilipokuwa nawaangalia wazee wangu nimekumbuka nyumbani na tumepata fursa ya kuzitembelea nyumba mbili  wametoa shukrani jinsi gani Rais anavyoendelea kuwajali wananchi maskini”.

Mtendaji wa Kijiji cha Mtyangimbole Joseph Ngatunga amesema mafanikio ya mpango wa kunusuru kaya maskini katika kijiji hicho walengwa pamoja na wananchi kwa ujumla wanaonufaika na  ruzuku imesaidia kuboresha makazi,mavazi pamoja na chakula.

Amesema walengwa wamefanikiwa kuongeza kipato katika kaya  kupitia ujira waliopata kutokana na ushiriki wao wa kazi,kuongezeka idadi ya watoto wanaohudhulia  shule,Afya za Watoto zimeimalika kwa kuhudhulia kliniki.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma

Agosti 16,2022.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MADABA YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024.

    June 19, 2025
  • UJENZI WA MADARASA 2 NA MATUNDU 6 YA VYOO SHULE YA MSINGI KIPINGO WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 100

    May 30, 2025
  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa