• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

WANANCHI wa Kata ya Wino wampa heko Mbunge wa Madaba

Posted on: July 10th, 2024

WANANCHI wa Kata ya Wino wamempongeza Mbunge wa Jimbo la Madaba kwa kuwaletea fedha za utekelezaji wa miradi yenye thamani ya shilingi 2,700,336,905.3 mwaka wa fedha 2022/2023 na 2023/2024.

Diwani wa Kata hiyo ambaye ni Mwenyekiti wa Halmashauri  Teofanes Mlelwa amema hayo katika hafla ya kumpongeza Mbunge wa Jimbo la Madaba Joseph Mhagama iliyofanyika katika kijiji cha Igawisenga Kata ya Wino.

“Wananchi hawa baada ya kuona umefanya vizuri na kuwa Mwenyekiti wa Bunge wakaona wakupongeze na tunajisikia vizuri tunavyokuona Bungeni”.

Hata hivyo amesema katika hafla hiyo kijiji cha Igawisenga kimepata jumla ya shilingi Milioni 462,957,447.00  kwaajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali.

Kijiji cha Wino kilipata jumla ya shilingi Milioni 973,898,3000.65 kwaajili ya utekelezaji miradi na kijiji cha Lilondo kilipata jumla ya shilingi Milioni 870,581,127.65  zimetekeleza Miradi.

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

Julai 9,2024.        

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • MARATIBU wa mradi wa BOOST Madaba amshukuru Rais Samia

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa