• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

CHWAYA "walimu asanteni kwa kutuheshimisha viongozi Madaba

Posted on: May 19th, 2024

Afisa Elimu awali na msingi Saada chwaya Halmashauri ya Wilaya ya Madaba amewapongeza walimu na kutoa zawadi mbalimbali kwa kuwaheshimisha viongozi wa Halmashauri kwa kuwa wakwanza Kimkoa mtihani wa darasa la saba na darasa la nne 2023.

Pongezi hizo amezitoa katika kikao cha tathimini kilichoambatana na sherehe za kuwapongeza walimu na wanafunzi waliofanya vizuri.

 “Nilijisikia faraja sana katika kikao cha maafisa elimu wa Halmashauri 184 wa Nchi nzima na mikoa 26 Halmashauri 68 tulifikia wastani wa asilimia  85 katibu mkuu wa TAMISEMI alitupatia zawadi ya cheti nikiwemo mimi nawashukuru sana kwa kunihesshimisha walimu wangu”.

Aidha chwaya amewapongeza walimu wanaojitole nao wamekuwa chachu ya kusababisha ufaulu mzuri wa wanafunzi katika Halmashauri.

“Kwa wale walimu ambao hawajapata ajira wameshiriki kutuletea mafanikio mbingu ziwe wazi Mungu apokee dua ajira zinazokuja waajiliwe”.

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Madaba

Mei 17,2024.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • MARATIBU wa mradi wa BOOST Madaba amshukuru Rais Samia

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa