ANITHA Makota ambaye ni Kaimu Mkuu wa Idara wa Maendeleo ya Jamii Halmashauri ya Madaba jana amefundisha fursa kwa Vijana.
Mafunzo hayo ametoa katika Kata ya Lituta kwa kundi la Vijana na kuwaasa kuachana na madawa ya kulevya,Ngono zembe na kujipanga katika stadi za maisha kwa vijana hao.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa