MTO Ruvuma wenye urefu wa zaidi ya kilometa 800 chanzo chake ni milima ya Matogoro Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.Mto Ruvuma ambao ni miongoni mwa vivutio vya utalii mkoani Ruvuma,unapita katika wilaya za Songea,Mbinga,Nyasa,Namtumbo na Tunduru mkoani Ruvuma.TAZAMA habari zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=szibiZgeM30
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: P.O.BOX 10
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: info@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa