Mkurugenzi mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Madaba anasikitika kutangaza kifo cha mwalimu ya Shule ya Msingi Lutukila Nestory P.Nshobeilwe kilichotokea mei 19,2024 katika Hospitali ya Rufaa Songea. taratibu za mazishi tutawajulisha
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa