MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Teofanes Mlelwa anawatangazia wafanyabaishara wote,Taasisi za Umma ,binafsi pamoja na wananchi wote kuwa siku ya Jumamosi Septemba 16,2023 kushiriki zoezi la usafi wa Mazingira Duniani.
Mlelwa amesema maeneo ya ya wazi,baishara na maeneo ya wazi Kiwilaya zoezi hilo litafanika katika kituo cha Afya Madaba muda ni saa moja kamili asubuhi.
Kauli mbiu “Tuungane pamoja,kujifunza,kupanga,na kuhimiza uimarishaji Huduma za udhibiti wa taka”.
Kutoka kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Madaba
Septemba15,2023
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa