• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

RC Ruvuma awaasa Walimu kuzingatia maadili wawapo Shuleni

Posted on: January 20th, 2024

MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanal Laban Thomas amefanya kikao cha kujadili Maendeleo ya Elimu na Maafisa Elimu,Walimu wakuu wa sekondari Mkoa.

Akizungumza katika Kikao hicho Mkuu wa Mkoa amewaasa walimu kuwa na upendo wa dhati wa kukaa na kutenga mda wa kuzungumza changamoto zao binafsi na kuzifikisha katika uongozi husika.

“Hata yale mliyowasilisha kwa Mwenyekiti wenu sijaona changamoto binasfi isipokuwa pesa za uhamisho,lakini Serikali ya Rais Samia inajitahidi sana kulipa madeni  ya Walimu”.

Hata hivyoMkuu wa Mkoa  amesema  changamoto ya walimu kuhamishwa bila utaratibu pamoja na kujiona wengine wanamamlaka.

“Jana nimetoa maelekezo kwa wakurugenzi wasitoe Uhamisho kama hakuna sababu ya msingi na akitoa ahakikishe anamlipa baada ya kulundika madeni kila wakati”.

Mkuu wa Mkoa ametoa rai kwa Walimu kuzingatia mavazi wawapo katika eneo la Shule ili wanafunzi waweze kufuata mfano mzuri kwa ufaaji wa walimu wao.

“ mimi smati niliiga kutoa kwa Mkuu wangu wa Shule Otieno,alikwa anatuambia ukiitwa sehemu lazima ujue unavaa mavazi ya aina gani unakuta mwalimu kapiga dela na ndala, mwanaume kapiga suluari kamatia chini, mwanafunzi anajifunza nini au tisheti za chama cha walimu tangia mwaka 1191”.

Hata hivyo Mkuu wa Mkoa amewaasa walimu kuangalia maendeleo binafsi kuwa baada ya mda kuna kustaafu hivyo wahakikishe wanaandaa maisha na wakumbuke wanafamilia.

Kutoka kitengo cha Mawasiliano Halmshauri  ya Wilaya ya Madaba

Januari 20,2024          

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MADABA YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024.

    June 19, 2025
  • UJENZI WA MADARASA 2 NA MATUNDU 6 YA VYOO SHULE YA MSINGI KIPINGO WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 100

    May 30, 2025
  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa