Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akimsikiliza mwananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Lilondo kata ya Wino iliyopo Halmashauri ya Madaba Wilaya ya Songea ambapo ulihudhuliwa na wakuu Idara mbalimbali za Serikali pamoja na Wananchi.
Huu ni mwendelezo wa ziara zake ambazo zinalenga kusikiliza kero na maoni kwa ajili ya kutatua changamoto zilizopo kwenye maeneo yao.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa