MKUU wa Mkoa wa Njombe Mhe. Antony Mtaka ametembelea Banda la Halmashauri ya Wilaya ya Madaba ndani ya viwanja vya Nane nane Jijini Mbeya.
Mtaka akiwa katika banda hilo ameona bidhaa mbalimbali za wajasiliamali,ufungaji wa sungura,ufugaji wa kuku aina ya kuchi,ng’ombe wa maziwa na kilimo cha mboga mboga.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa