Serikali ya awamu sita kwa mda wa miaka miwili umefanikiwa kujenga Madarasa 10 katika Halmashauri ya Madaba yenye thamani ya Shilingi 200.
Moja kati ya Madarasa hayo yaliyojengwa katika Shule ya Sekondari Wino na kukamilika kwa asilimai 100.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa