• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

NYUMBA ya Mwalimu Kifaguro Halmashauri ya Madaba yafikia asilimia 98

Posted on: July 14th, 2023

Serikali imetoa shilingi Milioni 200 kutekeleza ujenzi wa Nyumba 4 za Walimu katika Shule za Msingi Kifaguro,Mtazamo,Madaba na Igawisenga Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.

Mwalimu Mkuu wa  Shule ya Kifaguro  Letisia Mlelwa amesema katika utekelezaji wa ujenzi wa Mradi huo Nyumba ya Mwalimu katika Shule ya Msingi Kifaguro imekamilika kwa asilimia 98.

Amesema ujenzi wa nyumba hiyo umeghalimu kiasi cha shilingi Milioni 50 kutoka Serikali Kuu pamoja na  nguvu kazi za wananchi kiasi cha Shilingi 750,000/=.

Mlelwa ameipongeza Serikali ya awamu ya Sita ,Mbunge wa Jimbo la Madaba pamoja na Diwani wa Kata ya Lituta kwa juhudi mbalimbali za kuendelea kuwapatia fedha kwaajili ya kuboresha makazi ya Walimu.

“Tunaishukuru Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia kwa kuendelea kutoa fedha kwaajili ya utekelezaji wa miradi ya Shule”.

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Madaba

Julai,14,2023.

 

 

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • MARATIBU wa mradi wa BOOST Madaba amshukuru Rais Samia

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa