• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

NYUMBA ya Mkurugenzi na Nyumba 6 za watumishi Madaba kukamilika Aprili 2021

Posted on: April 16th, 2021

MKUU wa Wilaya ya Songea Pololeti  Mgema ametembelea miradi inayotekelezwa   Halmashauri ya Madaba ikiwemo nyumba ya Kuishi  Mkurugenzi pamoja na nyumba sita za watumishi.

Mgema amesema serikali imetoa shilingi bilioni tatu na milioni miasaba hamsini kwaajili ya kujenga  ofisi ya Mkurugenzi kwa mara ya kwanza ilijengwa na TBA ,baadaye ilijengwa kwa force account  na kuokoa shilingi milioni miasaba hamsini na kuelekezwa kujenga nyumba za watumishi

“Baada ya kutembelea miradi hii nichukue nafasi hii kumpongeza Mkurugenzi Mtendaji pamoja na wakuu wa idara kwa kusimamia kazi hii vizuri, imefanyika kwa viwango na kwa mda mfupi ,na tumetumia milioni 270 katika nyumba ya Mkurugenzi na imefikia hatua za mwisho na milioni 350 ambazo zimetengwa katika ujenzi wa nyumba ya Mkurungenzi  itaokoa kiasi Fulani  cha  fedha na zitatumika kwaajili ya kununulia vifaa vya ndani”.

Afisa Mipango wa Halmashauri hiyo Mwandishi Nchimbi amesema nyumba 6  za watumishi zimeghalimu shilingi  milioni 300 kila nyumba milioni 50 na hatua iliyofikia ni nzuri na kila jengo linalojengwa tunatengemea kuokoa kiasi cha  fedha na kusaidia kuweka  samani za ndani  za nyumba hizo.

Hata hivyo Nchimbi amesema miradi hiyo imefikia hatua ya umaliziaji na chanzo cha fedha hizo za ujenzi wa nyumba za watumishi ,fedha zilizobaki kutoka katika unjenzi wa jengo la Ofisi ya Mkurugenzi iliyojengwa kwa shilingi bilioni 2.9.

Kwa upande wake Mkurugenzi  Mtendaji wa Halmashauri hiyo Shafi Kassim Mpenda amesema Halmashauri hiyo ni changa na uwepo wa nyumba hizo zitatatua changamoto ya Makazi ya watumishi na kuongeza ufanisi katika utumishi.

Hata hivyo amesema eneo hilo limetengwa kwaajili ya ujenzi wa nyumba za watumishi na kwasasa Halmashauri imepata  nyumba za kuanzia 6 na tunategemea kujenga zingine ili wafanyakazi wapate mahali pazuri pakuishi.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Afisa Habari Halmashauri ya Madaba

Aprili 16,2021

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MADABA YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024.

    June 19, 2025
  • UJENZI WA MADARASA 2 NA MATUNDU 6 YA VYOO SHULE YA MSINGI KIPINGO WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 100

    May 30, 2025
  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa