• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

NMB walivyo boresha huduma ya jiwekee

Posted on: July 3rd, 2024

MENEJA wa benki ya NMB Madaba Ghati wakete amewapongeza watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba kwa kuendelea kutumia na kupata huduma za benki ya NMB.

Pongezi hizo amezitoa katika kikao cha wakuu wa Idara na vitengo cha kusikiliza maoni ya benki ya NMB pamoja na kuboresha mapungufu ya mfumo wa mikopo ESS.

“Kwa kutambiua mchango huo  benki ya NMB tunawashukuru kwa dhati muendelee na moyo huo kwa kushirikiana na sisi ,tutaendelea kuboresha huduma zetu”.

Wakete amesema lengo la kikao hicho ni kusikiliza maoni ya huduma za benki ya NMB zilizoboreshwa na zinazoendelea kuboreshwa na kuchangia vitu ambavyo vinaweza kuboreshwa ili waweze kufanya vizuri zaidi.

“Leo tunachukua changamoto zote ambazo mnapata kwenye mfumo wa ESS tutapeleka ngazi ya juu ili waboreshe”.

Ainda amesema kuna huduma ambayo imeboreshwa inayoitwa jiwekee kwaajili ya kutunza akiba kwa kipindi cha miaka mitano kwa aslimia ambayo wewe mwenyewe unaona inafaa kuanzia asilimia1 hadi 100.

“Huduma hizo zimewezeshwa kwenye simu janja  za mkononi unaweza ukaingia  ukachagua huduma ya jiwekee na ukajiwekea asilimia unazotaka”.

Kutoka Kitengo sha Mawasiliano Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

Julai 2,2024.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • UHISHWAJI WA BARAZA LA WAZEE MADABA WAFANYIKA LITUTA.

    November 22, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MADABA YAPEWA CHETI CHA PONGEZI KWA UTEKELEZAJI BORA WA LISHE

    November 21, 2025
  • TIMU YA UKAGUZI MKOA WA RUVUMA YAFURAHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI MADABA.

    November 08, 2025
  • TIMU YA UKAGUZI KUTOKA MKOANI YATUA MADABA KWA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO.

    November 06, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa