MKUU wa Wilaya ya Songea Wilman Ndile ametoa rai kwa viongozi wa Halmshauri kuhakikisha watoto waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza katika shule ya Sekondari Lilondo wanaripoti shuleni.
Mkuu wa Wilaya amezungumza hayo mara badaa ya kutembelea shule hiyo na kuona wanafunzi wachache walioripoti katika Shule hiyo.
“Afisa Elimu hakikisheni kesho wanafunzi wote wanakuwa darasani hata kama watakuwa hawajakamilisha sare “.
Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmshauri ya Wilaya ya Madaba
Januari 8,2024.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa