MKUU wa Wilaya ya Songea Wilman Ndile ametoa rai kwa watendaji Kata na vijiji kusimamia ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri.
Hayo amezungumza katika kikao kazi cha wataalam ngazi ya Halmshauri ya Madaba kuwa zoezi la ukusanyaji wa mapato liwe endelevu na ni suala la nyakati zote.
“Niwaombe swala la mapato siyo wakati wa kiangazi tu,mapato ni masaa yote 24 siku zote 365”.
Kutoka kitengo cha Mawasiliano Halmshauri ya Madaba
Januari 17,2024.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa