MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilya ya Madaba Teofanes Mlelwa ameongea kwa niaba ya Mbunge wa Jimbo la Madaba Joseph Mhagama katika hafla fupi ya uzinduzi wa ujenzi wa Soko.
Mlelwa amesema katika ujenzi huo amesisitza uwepo wa ushirikiano ili kuhakikisha ujenzi huo unakamilika kwa wakati ili Halmashauri iletewe mradi mwingine.
“Fedha tulizoletwa zaidi ya Milioni 190 kazi ya ujenzi ishirikishwe na maagizo aliyotoa Mkuu wa Wilaya tuyazingatie “.
Makamu Mwenye kiti wa Halmashauri hiyo Olph Pili amesemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutoa fedha ya Ujenzi Soko katika Kata ya Lituta , Mbunge wa Jimbo la Madaba pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo.
Kutoka kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Madaba
Septemba 13,2023.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa