Mwekezaji wa Shamba la Miti Mufindi Woodpoles planting and Timber Ltd aliyewekeza katika Kijiji cha Ifinga Kata ya Matumbi Halmashauri ya Madaba amechangia Vitanda 20 vya Wanafunzi katika Shule ya Sekondari Ifinga.
Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Madaba
Septemba 25,2023.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa