• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

MBUNGE Madaba nina deni na wananchi wangu

Posted on: July 10th, 2024

MBUNGE wa Jimbo la Madaba Joseph Mhagama amewashukuru Viongozi wa  wa Kata ya Wino na  Wananchi kwa Kumsaidia kutekeleza majukumu yake.

Hayo amezungumza katika hafla iliyoandaliwa na viongozi wa Kata ya Wino ya kumpongeza Mbunge huyo kwa utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Maendeleo aliyoleta katika Kata hiyo.

“Nashukuru sana kwa kunibeba Waheshimiwa Madiwani mmesimama na mimi Mbunge kutekeleza majukumu yangu ambayo niliwaahidi wananchi asanteni sana kupitia hayo yote najiona ninadeni na ninyi.”.

Mhagama amesema wananchi wa Kata ya Wino wamefungua safari mpya ya uongozi wake kwa kufanya kuwa siku ya historia kama mbunge wa Jimbo la Madaba hivyo ameahidi kuendelea kuleta maendeleo mbalimbali katika Jimbo hilo.

“Siku ya leo mmeitenga kumshukuru Mungu kwa neema na Baraka ambazo sisi wanamadaba tumepata kupitia mimi Mbunge na mwakilishi wenu nitaendelea kuleta maendeleo Madaba’’

Aidha amesema maendeleo hayataletwa  na mtu mmoja bali kila mtu kwa nafasi yake ili kuhakikisha ushirikiano na umoja unaleta matokeo yanayoonekana kwa maombi,kwa kutoa Baraka,kwa kumsemea kiongozi vizuri.

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

Julai 9,2024

 

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MADABA YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024.

    June 19, 2025
  • UJENZI WA MADARASA 2 NA MATUNDU 6 YA VYOO SHULE YA MSINGI KIPINGO WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 100

    May 30, 2025
  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa