Ujio wa Madaktari bingwa halmashauri ya Wilaya ya Madaba kwa siku tano unaendelea kuleta manufaa kwa wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.
Moja kati ya madaktari bingwa wa usingizi na Ganzi kutoka hospitali ya Taifa Muhimbili Dr.Philip Muhochi amesema wamekuta timu nzuri ya Madaktari na Hospitali yenye majengo mazuri pamoja na vifaa tiba.
“Tunashirikiana na timu ya madaktari tulioikuta na tunaijengea uwezo ili tuwahudumie Watanzania wenzetu ,tunashukuru sana kwa mapokezi na ushirikiano kwa menejiment nzima na tunahaidi kufanya kazi vizuri kwa moyo wa dhati kabisa”.
Kutoka Kitengo cha Mawasiliano halmashauri ya Wilaya ya Madaba
Oktoba 30,2024.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa