• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

MADABA wazindua Wiki ya Msaada wa Kisheria

Posted on: January 25th, 2024

Mgeni rasmi katika Uzinduzi huo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Madaba Sajidu Idrisa Mohamed  akiwakilishwa na Hakimu Mkazi Mahakama ya Mahanje Rita Chale  ambapo wanafunzi wa Shule tatu za Msingi Njegea,Mkwera na Madaba wameshiriki uzinduzi huo na kupewa Elimu mbalimbambali 

Hakimu Mkazi akizungumza  katika uzinduzi huo amesema maadhimisho hayo yanafanyika kila Mwaka kuanzia mwezi Januari na kuhitimishwa mwezi Februari.

Ameyasema malengo ya Maadhimisho hayo ni kwaajili ya  kutoa Elimu ya Msaada wa Kisheria ikiwa Mwaka huu 2024 kauli mbiu inasema Umuhimu wa Dhana ya haki kwa ustawi wa Taifa nafasi ya Mahakama na wadau katika kuboresha Mfumo Jumuishi wa Haki Jinai.

“Maana ya kauli Mbiu katika mfumo wa haki jinai kuna wadau mbalimbali  wananchi,ofisi ya Mashitaka,Takukuru,Ustawi wa Jamii”.

Hata hivyo amesema haki lazima ipewe kipaumbele katika mashauri ya jinai ikiwa ni mfumo unaojumuisha watu wengi  katika kuboresha utendaji kazi.

“Panapokuwa na haki lazima pana wajibu wakufanya kwako wewe mtoto“

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Madaba

Januari 25,2024

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • DC NDILE ATOA MAELEKEZO YA KUIMARISHA AFUA ZA LISHE MADABA

    November 25, 2025
  • UHISHWAJI WA BARAZA LA WAZEE MADABA WAFANYIKA LITUTA.

    November 22, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MADABA YAPEWA CHETI CHA PONGEZI KWA UTEKELEZAJI BORA WA LISHE

    November 21, 2025
  • TIMU YA UKAGUZI MKOA WA RUVUMA YAFURAHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI MADABA.

    November 08, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa