• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

KAMATI ya Ujenzi wa Soko Madaba kupitia mradi wa TASAF walivyojifunza Songea

Posted on: August 30th, 2023

MRATIBU wa TASAF Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Maryam Sibuga na timu yake wamejifunza juu ya ujenzi wa  soko kupitia Mradi wa TASAF katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea.

Sibuga akizungumza kabla ya kufika eneo lililojengwa mradi huo wa soko hilo lililogharimu kiasi cha shilingi Milioni 202 pamoja na nguvu za wananchi amesema wameenda kujifunza walivyofanikiwa kutekeleza  mradi  na changamoto walizokutana nazo ili waweze kujua  pakuanzia na mwisho wafanye vizuri zaidi.

Amesema Halmashauri ya Madaba katika ujenzi huo Serikali imetoa Milioni 171,176,339.29 kupitia mradi wa TASAF utakaosaidia kutatua changamoto za wananchi wa Halmashauri hoyo na kujipatia eneo nzuri la kufanyia Biashara zao.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Neema Magembe amsema katika maisha na utendaji kazi kujifunza ni jambo la msingi katika Nyanja zote hata kwa Yule aliyefeli kunakuwa na chakujifunza.

Magembe amewapongeza wataalamu pamoja na Kamati ya Ujenzi wa Halmashauri ya Madaba  kwenda  kujifunza katika Halmashauri ya Songea amesema wamejenga soko hilo lenye vizimba 82 na matundu ya vyoo 6  na wamekutana na changamoto mbalimbali.

“Pamoja na changamoto zote adhima ya Serikali kupata Sokola wananchi, changamoto tunapokutana nazo lazima tupate ufumbuzi ili tuweze kusonga mbele”

Amesema soko hilo lilizinduliwa na mbio za Mwenge wa Uhuru Aprili 21,2023 ikiwa wananchi wamefurahia Mradi huo unaopelekea kufanya biashara katika Soko hilo.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

Agosti 29,2023.

 

 

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • MARATIBU wa mradi wa BOOST Madaba amshukuru Rais Samia

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa