KAMATI ya Siasa Mkoa wa Ruvuma imekagua Zahanati ya Kijiji cha Kipingo iliyojengwa kwa Shilingi milioni 40 iliyoletwa kwa awamu ya kwanza kutoka Serikali kuu.
Akisoma taarifa kwa kamati ya Siasa Mkoa wa Ruvuma Mtendaji wa Kijiji hicho Hawa Mussa Ndeka amesema awamu ya pili walipokea kiasi cha shilingi milioni 50 kutoka Serikali kuu kwaajili ya ukamilishaji wa ujenzi,ununuzi wa samani za ndani, uwekaji wa malumalu,umeme,maji,ujenzi wa labour pamoja pamoja na uwekaji wa huduma ya Tehama.
Amesema kwa sasa Zahanati hiyo imekamilika na imesajiliwa na imeanza kuanza kutumika,pia inawafanyakazi 3 na inatoa huduma ya mama na mtoto na wagonjwa wanje.
Kutoka kitengo cha mawasiliano Serikalini Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Madaba
Februari 2,2023
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa