• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

HALMASHAURI ya Madaba yaazimia kukamilisha miradi kabla ya mwaka wa fedha 2021-2022 kuisha

Posted on: May 19th, 2022

HALMASHAURI ya Madaba Wilaya ya Songea wamefanya kikao cha Barala la Madiwa cha robo tatu ya mwaka na kuazimia kukamilisha miradi yote kabla ya kumaliza mwaka wa fedha 2021-2022.

Akizungumza Mkuu wa Wilaya ya Songea katika Baraza Hilo Pololet Mgema amesema ifikapo Juni 30 ,2022  Miradi yote  inayoendelea katika Halmashauri ya Madaba iwe imekamilika kwa asilimia miamoja na kuanza kutumika.

Amesema fedha za umma zitumike kwa mujibu wa Sheria na kwa malengo kusudiwa ikiwa kuwa na nidhamu katika usimamiaji wa miradi yote ya Serikali  inayoletwa.

“Fedha za umma siyo za mtu binafsi unapozitumia lazima zitumike kwa mujibu wa Sheria,asitokee mtu akajimilikisha atatuangusha, tunayo Hospitali  na Shule tukasimamie iishe ili tuombe fedha kwaajili ya miradi mingine”.

Mgema amesema Serikali imeleta milioni 470 kwaajili ya ujenzi wa Shule na Hospitali hivyo ametoa rai kwa watumishi na Madiwani kusimamia miradi hiyo na kuhakikisha inakamilika kwa wakati .

Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Teofanes Mlelwa katika kikao hicho ametoa rai kwa watumishi wa Halmashauri hiyo kila mmoja kufanya kazi yake kwa weledi bila kusukumwa na kushirikiana kwa umoja ili kuhakikisha Madaba inasonga mbele.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Mkoa wa Ruvuma

Mei 19,2022.

 

 

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • WAHITIMU WA UFUNDI STADI KUPATIWA VIFAA VYA KUANZIA KAZI VYENYE THAMANI YA MILIONI 4.4

    November 27, 2025
  • WATAALAMU WA AFYA NGAZI YA MSINGI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MADABA WAANZA MAFUNZO MAALUM YA KUBORESHA HUDUMA KWA WAZEE

    November 26, 2025
  • DC NDILE ATOA MAELEKEZO YA KUIMARISHA AFUA ZA LISHE MADABA

    November 25, 2025
  • UHISHWAJI WA BARAZA LA WAZEE MADABA WAFANYIKA LITUTA.

    November 22, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa