• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

DED Madaba watumishi msizalishe kero kwa wananchi

Posted on: May 16th, 2024

MKURUGENZI Mtendaji Halmashauri ya  Wilaya ya Madaba Sajidu Idrisa Mohamed amefanya kikao cha kusikiliza kero na viongozi wa kamati ya maendeleo ya Kata ya Lituta.

Akizungumza katika kikao hicho ametoa taarifa ya ujio wa Mwenge wa uhuru ambapo katika halmashauri hiyo utakimbizwa Juni 15,2024 na utazindua miradi mbalimbali ya maendeleo.

Mohamed ametoa rai kwa viongozi wachama na watendaji wa vijiji pamoja na  wanyeviti wa vijiji kuhakikisha wanakuwa na mahusiano mazuri ili waweze kumsemea Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuleta miradi mingi ya maendeleo katika Kata ya Lituta na halmashauri kwa ujumla.

“Niwaagize watendaji wa vijiji,walimu kuhakikisha hamzalishi kero kwa wananchi badala yake tangazeni mambo makubwa aliyofanya Mh.Rais Samia Suluhu Hassan katika Kata hii”.

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Madaba

Mei 16,2024.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • MARATIBU wa mradi wa BOOST Madaba amshukuru Rais Samia

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa