• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

DED Madaba atoa vifaa vya michezo sekondari ya Matetereka

Posted on: August 26th, 2024

MKURUGENZI Mtendaji  Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Sajidu Idrisa  Mohamed ametembelea shule ya Sekodari Matetereka na ametoa vifaa vya michezo kwa wanafunzi.

Mohamed amesema lengo la ziara yake ni kuwatia moyo wanafunzi katika kuhakikisha wanasoma na kufaulu masomo yao na ametoa mipira minne na jezi za wasichana 10 na wavulana  11.

Katika ziara hiyo Mkurugenzi ameambatana na wakuu wa Idara wamewatia moyo wanafunzi hao kuendelea kusoma na kuwa viongozi mbalimbali hapo baadae.

“Nitoe rai kwa walimu wa histori na Kiswahili muwafundishe wanafunzi ili tusipoteze lugha yetu na waweze kuwa walimu hapo baadae na viongozi kama sisi msikate tamaa”.

Naye Mkuu wa Shule hiyo Godfrey Njovu amemshukuru Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo kwa kuhakikisha anatimiza ahadi yake ya vifaa vya michezo na kuhakikisha anatembelea shule hiyo mara kwa mara.

“Zipo shule nyingi lakini hapa unafika mara kwa mara awamu ya mwisho ulituachia soda tunakushukuru sana na tunakukaribisha sana Matetereka Sekondari umetuletea jezi ambazo tutaendeleza michezo hapa shuleni”.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Kutoka Kitengo cha Mawasilino Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

Agosti 26,2024.

 

 

 

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • UJENZI WA MADARASA 2 NA MATUNDU 6 YA VYOO SHULE YA MSINGI KIPINGO WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 100

    May 30, 2025
  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa