MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Sajidu Idrisa Mohamed amewataka watumishi wa Halmashauri hiyo kufuta taratibu,kanuni na Miongozo ya kiutumishi iliyowekwa.
Hayo ameyasema katika kikao cha baraza la wafanyakazi kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri na kuhudhuriwa na viongozi wa vyama mbalimbali vya wafanyakazi.
Kutoka kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Madaba
Februari 9,2024.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa