Pichani ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba, Wakili Sajidu Idrisa Mohamed, akishiriki zoezi la upigaji kura kwa ajili ya kumchagua Rais, Mbunge na Diwani, leo asubuhi Oktoba 29, 2025, katika Kituo cha Kupigia Kura cha Shule ya Msingi Kifaguro.



MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa