Mkurugenzi mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Sajidu Idrisa Mohamed ametembelea Kata ya Matetereka na kufanya kikao cha kusikiliza kero na viongozi wa halmashauri ya vijiji.
Hata hivyo katika kikao hicho ameongozana na wataalam mbalimbali wa Halmashauri hiyo na wametoa ufumbuzi wa kero hizo.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa