Katibu Tawala Wilaya ya Songea Mtela Mwampamba ametoa rai kwa vyama vya siasa kufanya kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa utulivu na amani.
Hayo amesema katika mkutano wa Baraza la Madiwani wa robo ya kwanza Julai Septemba 2024/2025 kilichofanyika katika ukumbi wa ofisi ya Mkurugenzi.
“Hatutegemei sisi wananchi na viongozi kuona kampeni za kutukanana na kashifa na siyo utaratibu wa Watanzania”
Hata hivyo Mwampamba amesema anatarajia kuona kampeni za kistaarabu ambazo zitapelekea siku ya uchaguzi Novemba 27,2024 kupata viongozi bora.
Kutoka kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Wilaya ya Madaba,
Novemba 20,2024.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa