Serikali imeboresha huduma za afya na kuanzisha mfuko wa hifadhi CHF ya kuwasaidia wananchi kupata huduma za afya zinazotumika ndani ya Mkoa husika katika vituo vyote vya kutolea huduma.
Afisa Ustawi wa jamii Halmashauri ya Wilaya ya Madaba John Mashauri ametoa elimu hiyo ya huduma ya bima ya afya ya CHf kwa wananchi katika hospitali ya Wilaya.
“Huduma hii inajumuisha watu sita katika familia kwa gharama ya shilingi elfu thelathini (30,000/=) na inatumika ndani ya mwaka mmoja”.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa