MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Madaba Sajidu Idrisa Mohamed anasikitika kutanga kifo cha Mtumishi Ndugu Showing Mapunda aliyekuwa anakaimu nafasi ya afisa Tarafa Madaba.
Kifo hicho kimetokea Februari 25,2023 katika Hospitali ya Ikonda Mkoa wa Njombe Wilaya ya Makete,ifahamike kuwa Marehemu Mapunda alizaliwa Aprili 4,1975 Mkoa wa Ruvuma Wilaya ya Nyasa.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa