• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

RAIS Samia alivyowaapisha wakuu wa Mikoa ,Yupo mkuu wa Mkoa wa Ruvuma

Posted on: May 19th, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amewaapisha  Wakuu wa Mikoa na wakuu wa Taasisi ili kuanzia kazi rasmi ya kuwatumikia watanzania.

Uapisho huo umefanyika  Ikulu jijini Dar es salaam ni Mhe. Amos Gabriel Makalla, kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mhe. Omary Tebweta Mgumba kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe.Mhe.Stephen Nzohabonayo Kagaigai kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Mhe. Brig. Jen Wilbert Augustine Ibuge, kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,Mhe.Charles Makongoro Nyerere kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara,Mhe.Brig. Jen Charles Mang’era Mbuge kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera,Mhe. David Zacharia Kafulila Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mhe. Rosemary Staki Senyamule kuwa Mkuu wa Mkoa wa Geita,Mhe.Mwanamvua Hoza Mrindoko,Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi,Mhe.Queen Cuthbert Sendiga kuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa.

Aidha Rais Samia amewaapisha Makatibu Mkuu na Watendaji Wakuu wa Taasisi Ndg. Nenelwa Joyce Mwihambi  kuwa Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,Ndg.Joseph Edward Sokoine kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Ndg.Salum Rashid Hamduni kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa,Ndg. Sylvester Anthony Mwakitalu kuwa Mkurugenzi wa Mashitaka ,Ndg.Joseph Sebastian Pande kuwa Naibu Mkurugenzi Mashitaka,Ndg.Neema Mpembe Mwakalyelye kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • SHILINGI MILIONI 95 ZATUMIKA KUKAMILISHA UJENZI WA NYUMBA YA MWALIMU 2 IN 1 KATIKA SHULE YA SEKONDARI LILONDO.

    July 20, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MADABA YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024.

    June 19, 2025
  • UJENZI WA MADARASA 2 NA MATUNDU 6 YA VYOO SHULE YA MSINGI KIPINGO WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 100

    May 30, 2025
  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa