• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

WAZIRI wa Habari kuanza ziara ya kikazi Mkoani Ruvuma siku tatu

Posted on: February 25th, 2021

Waziri wa  Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Innocent Bashungwa anaanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani Ruvuma kuanzia Februari 26 hadi 28 mwaka huu.Kwa mujibu wa ratiba ya ziara hiyo  Februari 26 mwaka huu Waziri Gashungwa anatarajia kuanza ziara yake katika wilaya ya Tunduru ambapo atatembelea Makumbusho ya Masonya ambalo ni eneo la urithi wa ukombozi la nyumba ya Samaro Michel na Nyerere ambapo siku ya Februari 27 Waziri wa Habari atahudhuria kilele cha kumbukizi ya miaka 114 ya mashujaa wa Vita ya Majimaji ndani ya viwanja vya Makumbusho ya Taifa ya Majimaji mjini Songea.

Kwa mujibu wa ratiba hiyo ,Waziri Bashungwa anatarajia kukamilisha ziara yake mkoani Ruvuma  siku ya Februari 28 mwaka huu kwa kutembelea  wilaya ya Namtumbo kwenye maeneo ya urithi wa ukombozi Likuyu Sekamaganga na nyumba ya Nyerere .

Imeandikwa na Albano Midelo

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MADABA YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024.

    June 19, 2025
  • UJENZI WA MADARASA 2 NA MATUNDU 6 YA VYOO SHULE YA MSINGI KIPINGO WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 100

    May 30, 2025
  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa