• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

WAZIRI Jenista azindua hotel ya Canopies Ruvuma

Posted on: August 16th, 2022

WAZIRI wa Nchi ofisi  ya Rais Menejimenti Utumishi wa Umma na Utawa Bora Jenista Mhagama amezindua Hotel ya Kisasa ya Canopies.

Uzinduzi huo wa Hotel umefanyika katika Kata ya Seed Ferm Manispaa ya Songea  kufuatia uzinduzi wa Loyor Tour uliofanyika Agosti 15,2022 Mkoani Ruvuma .

Mhagama amempongeza mwekezaji wa Hotel hiyo Desdeliot Ruta kwa kuwekeza Mkoa wa Ruvuma na amewakaribisha wengine ambao wanaweza kuwekeza Mkoa ni hapo.

Amesema uwepo wa Hoteli kubwa utapelekea Watailii kutoka nje na ndani kutalii katika Mkoa wa Ruvuma kufuatia Mkoa wa Ruvuma na viunga vyake kuna vivutio vingi Milima ya Mtogoro,Mapango ya Chandamali pamoja na vingine vingi ambavyo vinavutia.

Akisoma taarifa  ya hotel hiyo Veronica Gondwe amesema uwepo wa hotel hiyo umesabisha vijana kujipatia ajira na wamefungua fursa kwa kuuza mboga mboga Mayai,Kuku na Matunda.

Amesema Hotel hiyo ya Canopies inatarajia kufungua super Market,Minbankie na maduka ya vyakula ambavyo vitapelekea upatikanaji wa huduma kwa karibu.

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanal Laban Thomas amesema  ufunguzi  wa hotel hiyo ni mwendelezo wa Loyor Tour ambao utapelekea ongezeko la Mapato katika Manispaa ya Songea

Hata hivyo amempongeza mmiliki wa hotel hiyo kwa uwekezaji na kuongeza idadi ya hotel katika Mkoa wa Ruvuma na ametoa rai kwa wawekezaji kuwa Ruvuma kuna maeneo makubwa kwaajili ya uwekezaji.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma

Agosti 16,2022.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • MARATIBU wa mradi wa BOOST Madaba amshukuru Rais Samia

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa