KUFUATIA Siku ya Wazee Duniani Octoba 1,2023 Wazee Halmashauri ya Madaba wamejitokeza kupima afya zao bure Kisukari,Presha,Maralia,Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi,Hali ya Lishe pamoja na Huduma ya Msaada wa Kisaikolojia.
Huduma hizo zimetolewa bure kwa Wazee wote na wataalam mbalimbali kutoka katika kituo cha Afya Madaba.
Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Madaba
Octoba 1,2023.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa