• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

WATOTO wanaoishi katika mazingira magumu Songea waiona Nuru

Posted on: December 25th, 2020

KANISA la Anglikani linaloshilikiana na Shirika la Copassion wamegawa Magodoro 100 kwa watoto wanaoishi katika mazingira magumu  yenye thamani ya shilingi milioni kumi.

Akitoa taarifa hiyo leo baada ya ibada ya Shukrani ya watoto hao Afisa utawi wa mtoto  Fidea Mapunda kwa aliyekuwa mgeni rasmi baada ya Mkuu wa Wilaya ya Songea Pololeti Mgema Diwani wa Kata ya Subira kabla ya kugawa Magodoro amesema vituo hivyo vya kulelea watoto wanaishi katika  mazingira magumu vilianza Januari 2020.

 “Changamoto ni kubwa kwa sasa ni kutokuwa na miundombinu ya choo kwani tuna tundu moja tu,Ombi letu kwako kutuombea kwa Mungu afungue njia ya kufanikisha  usalama wa watoto wetu”.

Mapunda amesema Magodoro yatayotolewa kwa awamu mbili ikiwa mpaka kufikia sasa kituo cha Mjimwema kina watoto 150  na watoto hamsini wemepatiwa na kituo cha Lupapila wamepokea watoto hamsini na waliobaki watapatiwa kwa kipindi kijacho.

Kwa upande wake Mgeni rasmi Diwani wa Kata ya Subira  John Ngonyani amelishukuru kanisa la Anglini kwa kuonyesha upendo kwa kata ya Subira na kuwekeza katika Elimu kwa watoto wenye Mazingira Magumu.

Diwani baada ya hotuba yake amechangia shilingi laki moja kwaajili ya Ujenzi wa vyoo na kuwaahidi kusimamia wanapata  kivuko,Umeme na Maji katika kata hiyo.

“Mimi kama Diwani najua mmeanza katika mazingira magumu sana Kivuko hakuna,Umeme,Maji ninakazi kubwa sana kuhakikisha miundombinu inakuwa ya uhakika Lupapila Tanescol nimefuatilia kunabajeti wameandaa  kufikia 2021 juni umeme utakuwa tayari”.

Hata hivyo Diwani amesema atahakikisha anapambana kuhakikisha anaunga mkono huu mradi wa kusaidia watoto wanaishi katika mazingira magumu ili baadae waweze kufanya vizuri na kuondokana na umaskini.

Naye Diwani wa Kata ya Mjimwema Silvester Mhagama baada ya ibada  ya Sikuku ya Chrismas  amegawa magodoro kwa watoto 50 wa kituo cha Mjimwema ameahidi kutoa elfu hamsini kwaajili ya mahitaji ya watoto hao na kilo ishirini na tanao za mchele kwa watoto kila mwezi.

Padri John Midelo wa Kanisa la Mjimwema baada ya ibada ya shukra ya kuwawezesha kumaliza mwaka na kuwaepusha na Gonjwa la Corona,kuanzia kufunguliwa kwa vituo hivyo Januari 2020 amesema vituo hivyo vinawatoto kuanzia miaka 3 mpaka 7 na watalelewa mpaka kufikia miaka ishirini na mbili kimwili,kiroho na Kielimu.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Afisa habari Halmashauri ya Madaba

Desemba 25,2020

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • MARATIBU wa mradi wa BOOST Madaba amshukuru Rais Samia

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa