• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

WATEULE watakavyomsaidia Rais Samia kuipeleka Tanzania pazuri

Posted on: June 3rd, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Samia Suluhu Hassan  amekamilisha safu ya uongozi ngazi ya Mkoa baada ya kuwaapisha makatibu Tawala wa mikoa tayari kwa kuanza kazi rasmi ya kuwatumikia watanzania kwenye mikoa yao na kusimamia miradi mbalimbali ya maendeleo inayoendelea kutekelezwa kwenye maeneo yao.Mkoa wa Ruvuma ni miongoni mwa mikoa nchini ambayo imepata viongozi watakaosukuma mbele gurudumu la maendeleo kuanzia ngazi ya Mkoa hadi kitongoji.

Mkuu wetu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Augustine  Ibuge kwa kushirikiana na Katibu Tawala wetu wa Mkoa Ndugu Stephen Mashauri Ndaki wapo tayari kuanza kazi rasmi ya kuwatumikia wananchi wa Mkoa wa Ruvuma.Jambo la muhimu ni  kwa watumishi wote na wananchi kwa ujumla kutoa ushirikiano katika sekta zote ili iwe rahisi kwa viongozi hao kuwatumikia watanzania wa Mkoa wa Ruvuma katika serikali ya Awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.

Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Ndugu Stephen Mashauri Ndaki akiwa ofisini kwake mjini Songea

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MADABA YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024.

    June 19, 2025
  • UJENZI WA MADARASA 2 NA MATUNDU 6 YA VYOO SHULE YA MSINGI KIPINGO WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 100

    May 30, 2025
  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa