• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

SERIKALI yatoa milioni 800 ujenzi wa jengo la upasuaji la wanaume na wanawake Hospitali Madaba

Posted on: November 16th, 2023

SERIKALI imetoa shilingi Milioni 800 kwaajili ya ujenzi wa jengo la upasuaji la wanaume na wanawake(General Theater) katika Hospital ya Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.

Wataalam kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma wakiongozwa na Katibu Tawala Msaidizi upande wa Miundombinu Gilbert Simya wamekagua ujenzi huo wametoa  pongezi kwa Viongozi wa Halmashauri kwa usimamizi.

 Simya amewapongeza viongozi wa Halmashauri hiyo kwa utekeleza wa mradi huo na kujenga majengo hayo kwa mpangilio mzuri.

“Niwapongeze na niwasisitize kukamilisha ujenzi huo kwa wakati”.

Mganga Mkuu wa Halmashauri hiyo Mussa Rashid amesema mpaka kufikia sasa fedha iliyotumika ni zaidi ya shilingi Milioni 400 na mradi huo umefikia hatua ya kupandisha kuta jengo la wanaume pamoja na Jengo la wanawake hatua  ya kufunga Boksi na kupandisha kuta.

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Madaba

Novemba 16,2023.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • MARATIBU wa mradi wa BOOST Madaba amshukuru Rais Samia

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa