Wananchi waKata ya Matetereka Halmashauri ya Wilaya ya Madaba wamempongeza Rais Samia kwaujenzi wa Kituo cha Afya Mateteleka na wameomba ukarabati wa barabara katika maeneo korofi ili waweze kufika katika kituo hicho na kupata huduma kwa urahisi
Hayo wamesema katika kikao cha wataalam wa Halmashauri hiyo na wananchi katika Kata ya Mateteleka cha kusikiliza kero na malalamiko mbalimbali.
Hata hivyo wameishukuru Serikali kwa kutoa fedha shilingi milioni 90 za ukarabati wa madarasa sita katika Shule ya Msingi Mateteleka na kupelekea wanafunzi kujisomea katika mazingira mazuri.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa