• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

Wananchi Mahanje Madaba waipongeza Serikali kwa kupatiwa huduma za Afya

Posted on: May 24th, 2024

MKURUGENZI Mtendaji  Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Sajidu Idrisa Mohamed ametembelea miradi   iliyotekelezwa katika Halmashauri hiyo kwa mwaka wa fedha 2023/2024.

Kati ya Miradi hiyo ameanza rasmi ziara ya kukagua mradi wa Zahanati ya Mahanje na kujua namna ambavyo huduma inayotolewa kwa wananchi.

Mwenyekiti wa Kitongoji cha matweve  Kijiji cha Mahanje bwana Machael amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa Zahanati hiyo kabla ya ujenzi wa zahanati wananchi walikuwa wanatibiwa Zahanati ya Misheni kwa gharama kubwa.

“Wananchi wa Mahanje tunaipongeza Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa zahanati na kuanza kutoa huduma zote na watoto chini ya miaka mitano na wazee wananatibiwa bure kwa kweli tunashukuru sana”.

Aidha moja ya  wazee   waliotibiwa  katika zahanati hiyo wamesema kupitia uwepo wa zahanati hiyo umepelekea kupata huduma kwa ukaribu na bure tofauti na mwanzo ililazimika kutibiwa kwa ghalama kubwa.

Kutoka kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya  Wilaya ya Madaba

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • MARATIBU wa mradi wa BOOST Madaba amshukuru Rais Samia

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa