• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

WAKULIMA wadogo Ruvuma wanufaika na Mbegu bora aina ya DKC 9089

Posted on: January 4th, 2021

MKOA wa Ruvuma umenufaika na  Mbegu bora za Mahindi aina ya DKC 9089 tani 25 zenye thamani ya shilingi Milioni  miamoja hamsini  kutoka kampuni ya Baya kupitia shirika lisilo la kiserikali ( ACT) Balaza la kilimo.

Akitoa taarifa hiyo Afisa kilimo Mwandamizi wa Mkoa wa Ruvuma Enock Ndunguru amesema Msaada wa Mbegu umetolewa kwa Nchi nzima kwaajili ya kusaidia wakulima wadogo kupitia ugonjwa wa Corona kwa Mkoa wa Ruvuma tani hizo 25 zimenufaisha Halmashauri 2,Mbinga vijijini na Songea vijijini.

Ndunguru amesema Mbegu hizo zimegawiwa kwa wananchi zaidi ya Elfu nane,elfu nne kutoka Halmashauri ya Mbinga na Elfu nne kutoka Halmashauri ya Songea Vijijini na wanufaika wamepata Mbegu za kutosha kwa robo heka yani kilo 2 mpaka nusu heka kilo 4.

“Hizi mbegu zote zinatolewa bure haziuzwi na muundo wa kuwapata wakulima wadogo umeelekezwa kwa wakulima wadogo,Wakurugenzi wa Halmashauri ya Mbinga na Songea na wakuu wa idara za Kilimo na Mabwana shamba ndio walioshirikiana na watendaji wa vijiji kupata orodha ya wanufaika”.

Hata hivyo afisa kilimo mwandambizi wa Mkoa akielezea Mbegu hizo aina ya DKC 9089 amesema zinauwezo wa kuzaa gunia 40 kwa hekari hadi 44 Mbegu zimekwisha kufika na wamekwisha sambaza kwa Halmashauri husika na kuwafikia wanufaika zaidi ya elfu nane

Ndunguru amesema Shirika ACT limeanza kufanya kazi kwa Mkoa wa Ruvuma kuanzia mwaka 2000 kwa kuwajengea wakulima uwezo wa kulima  kilimo bora na kilimo kinaleta tija kwa wakulima.

Hata hivyo shirika hilo litaendelea kusimamia kwa karibu kwa maeneo ambayo mbegu imeenda Wilaya ya Mbinga vijijini na Wilaya ya Songea Vijijini.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Kutoka Halmashauri ya Madaba

JANUARI 4,2021

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • UJENZI WA MADARASA 2 NA MATUNDU 6 YA VYOO SHULE YA MSINGI KIPINGO WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 100

    May 30, 2025
  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa