• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

WAKULIMA na Wafugaji Ruvuma wapewa Elimu ya Bima

Posted on: April 28th, 2022

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bima Tanzania wametoa mafunzo ya Bima kwa Vikundi vya  wakulima na Wafugaji wa Mkoa wa Ruvuma.

Akizungumza katika uzinduzi wa Mafunzo hayo Katibu Tawala Msaidizi Uchumi na Uzalishaji Jeremia Sendoro amesema mafunzo hayo yameletwa Mkoa wa Ruvuma kwasababu ni Mkoa wa kilimo  na ufugaji wa Samaki kwa Wingi.

 wameona umuhimu wa kutoa Elimu na kuwajengea uelewa.

“Bima ya kilimo na Ufugaji  inatusaidia pale tunapopata hasara  katika Mazao yanapokuwa Shambani, kama utatokea ukame au mvua za mawe pamoja na mifugo kufa kwa magonjwa au wanapokuwa marishoni Bima inatoa fidia ”.

Sendoro ametoa rai kwa Wakulima na Wafungaji kufuatia mafunzo hayo kufuata yale waliyopata kutoka kwa wataalamu na kuyafanyia kazi  pamoja na kuwa  na kilimo chenye tija  na kuwa mabalozi kwa wengine ili kuepuka hasara katika kilimo na Ufugaji.

“kuna wenzetu wa Bodi ya Kilimo,Nafaka na Mazoa mchanganyiko Soya na mazao mengine  katika mikataba yao walitaka Bima ya Kilimo utekelezaji ulikuwa mgumu kwasababu ya kukosa Bima”.

Hata hivyo amesema Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania wemekuja wakati mzuri wa mavuno  ikiwemo Soya, Maharage ,Mahindi  na Octoba ni mwezi wa mavuno ya Korosho  pamoja na Novemba kuandaa Mashamba hivyo mafunzo hayo yametolewa wakati sahihi na kwawatakaopenda kilimo cha Mkataba na Pamoja wataalamu watasimamia kilimo hicho.

Meneja wa Mamlaka ya  Usimamizi wa Bima (TIRA) Kanda ya Nyanda za Kusini Salum Yungwa  amesema lengo la Mafunzo hayo Mkoani Ruvuma kutoa Elimu ya Bima ya Kilimo kwa wakulima ambao wanaoathirika na majanga mbalimbali yanayoweza kutokea wakati mazao yakiwa Shambani,Njiani au Kwenye ghara.

Yugwa amesema wametoa Semina kwa wakulima na wafugaji mara baada ya kuona   Mkoa wa Ruvuma ni moja kati ya Mikoa iliyojikita katika uzalishaji wa Kilimo na Ufugaji kwa wingi.

“Leo tumetoa uelewa kwa Wanaruvuma ili waelewe Umuhimu wa Bima na kujikinga na majanga ambayo yanaweza kujitokeza  na fidia itapatikana na kutopata hasara ”.

Amesema kupitia Mafunzo hayo yaliyotolewa Wakulima na wafugaji wamepata Hamasa na wapo tayari kutumia Bima katika Kilimo na Ufugaji kwa kuepuka kupata hasara zitakazojitokeza  mara kwa mara.

Moja kati ya Washiriki wa Mafunzo hayo Heriety Komba amesema kuna baadhi ya wakulima bado hawakujua umuhimu wa Bima na mara kwa mara wamepata majanga katika Kilimo na Ufugaji hivyo kupitia Semina hiyo wamepata uelewa na watafanyia kazi.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde na Jackson Mbano

Kutoka Kitengo cha Habari Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma

April 28,2022

 

 

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MADABA YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024.

    June 19, 2025
  • UJENZI WA MADARASA 2 NA MATUNDU 6 YA VYOO SHULE YA MSINGI KIPINGO WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 100

    May 30, 2025
  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa