• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

UONGOZI wa Mkoa wa Ruvuma wapongezwa kwa kutatua kero za wafanyabiashara

Posted on: June 28th, 2022

MWENYEKITI wa Jumuiya ya wafanyabiashara Taifa Khamis Livembe Abdallah ameongoza Mkutano wa wadau wa Biashara  Mkoa wa Ruvuma na kujadili changamoto mbalimbali.

Akizungumza katika Mkutano huo uliojumuisha wadau  kutoka mikoa ya Njombe,Iringi pamoja na Ruvuma katika ukumbi wa Familia takatifu Bombambili Manispaa ya Songea amesema  Mkoa wa Ruvuma  Changamoto zimeshughulikiwa ukitofautisha na Mikoa Mingine.

“Niipongeze Serikari ya Mkoa kwa kutatua changamoto za wafanyabiashara na mengi yametatuliwa,ikiwemo TRA ya Mkoa wa Ruvuma ni Mfano ya Mikoa Mingine “.

Abdallah amesema hoja nyingi ambazo wafanyabiashara wamezitaja ni za kisera ambazo kama mamlaka hawahusiki ikiwemo kodi ya zuio.

Naibu Katibu Mkuu wa Uwekezaji Viwanda na Biashara Dkt.Hashil t.Abdallah katika mkutano huo amempongeza Mwenyekiti wa  jumuiya ya wafanyabiashara Taifa kwa kazi kubwa ya kuiongoza Jumuiya hiyo na uongozi thabiti na mahusiano katika Serikali yameimalika.

Abdallah amesema Wizara na Serikali kwa ujumla lazima waweke mazingira wezeshi ili mfanyabiashara afurahie kazi yake na Serikali imlee na kumwezesha Mfanyabiashara na Serikali iweze kukusanya kodi na watu wajipatie ajira.

“Tumeshudia mara kadhaa migongano katika Jumuiya Mbalimbali lakini Jumuiya ya Wafanyabiashara imekuwa ya Mfano inawaunganisha na kuwa na sauti moja juu ya yale yanayowatatiza”.

 Abdallah amesema wafanyabiashara maamuzi ya kukaa pamoja na kutafakari kwa pamoja baina ya wafanyabiashara na viongozi wa Mkoa ni jambo jema ambalo linapelekea kuleta maendeleo katika Taifa la Tanzania.

“Tupo hapa kumwakilisha Mama Yetu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia ametuagiza tusiondoke na kero  lazima tumalize hapa hapa “.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Kutoka kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma

Juni 28,2022.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • MARATIBU wa mradi wa BOOST Madaba amshukuru Rais Samia

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa