• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

WANANCHI wa Madaba wanavyonufaika na zao la Tangawizi

Posted on: December 4th, 2020

HALMASHAURI ya wilaya ya Madaba Mkoa wa Ruvuma inazalisha zao la Tangawizi na kuingiza zaidi ya shilingi milioni 16 ya mapato ya ushuru sawa na asilimia 3 kila mwaka .

Akitoa taarifa hiyo ofisini kwake  Afisa kilimo,Umwagiliaji na Ushirika(W) Joseph Mrimi amesema  kila mwaka inazalisha tani 5,117 na kuuza ndani na nje ya Nchi.

“Halmashauri ya Wilaya ya Madaba tumeweka mkakati wa kuongeza  thamani ya zao hilo na kuzalisha kwawingi  zaidi ya tani 5117”.amesema Mrilimi.

Mrimi amesema Halmashauri imetenga jumla ya Hekari 400 kwaajili ya uwekezaji wa viwanda mbalimbali vya kuchakata mazao ya kilimo ikiwemo zao la Tangawizi.

Hata hivyo amesema wamelitangaza zao hilo katika maonesho ya wakulima nanenane Kanda ya Mbeya na Maonesho siku ya Uwekezaji katika Mkoa wa Ruvuma ,kwa kushirikiana na uongozi wa Mkoa wa Ruvuma.

“Kampuni ya TANZANICE imeahidi kununuaTangawizi toka kwa wakulima wa Madaba ,na matarajio ya Halmashauri siku zijazo kupata msindikaji mkubwa”.

Mrimi akiendelea kulizungumzia zao hilo amesema Halmashauri imejipanga kuwahamasisha wakulima  wanaoweza kulima na kusindika zao hilo ambapo kwasasa mkulima mmoja toka Kijiji cha Ifinga ameweza kulima na kusindika zao hilo.

Afisa Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika (W) amesema uongozi wa Halmashauri ya Madaba unaendelea kutoa Elimu kwa wakulima wakishirikiana nataasisi ya RUCCODIA,NOJEPACO  CO.LTD na TANZANICE juu ya kilimo Bora ilikuongeza uzalishaji zaidi.

Amesema Halmashauri inashirikiana na SAGCOT kutafuta  wadau mbalimbali wakununua na kusindika Tangawizi  ili zao hilo liendelee kuongeza uchumi.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Afisa Habari Halmashauri ya Madaba

Desemba 4,2020.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MADABA YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024.

    June 19, 2025
  • UJENZI WA MADARASA 2 NA MATUNDU 6 YA VYOO SHULE YA MSINGI KIPINGO WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 100

    May 30, 2025
  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa