HALMASHAURI ya Wilaya ya Madaba imeletewa watumishi wapya 8 kutoka Tamisemi Maafisa Maendeleo ya jamii 7 na Afisa Hesabu mmoja kutoka.
Maafisa utumishi Halmashauri ya Madaba wakiwapokea na kuwasajili watumishi hao kaika Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Madaba.
Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Madaba
Octoba 11,2023.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa