MKANDARASI anayejenga mradi wa maji Kata ya Mtiyangimbole Halmashauri ya Madaba Enock Munanka akisalimia na Mkuu wa Wilaya ya Songea Wilman Ndile alipotembelea mradi huo.
Mradi huo unajengwa kwa zaidi ya shilingi Bilioni 5.5 na kutarajia kukamilika Novemba 25,2023 na kuhudumia wananchi Hata hivyo Mhandisi amesema mradi ukikamilika utahudumia Vijiji 3 na wananchi takribani 11,239 mbao watanufaika na mradi huo.
Kutoka kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Madaba
Julai 18,2023.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa