• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

SERIKALI yatatua uhaba wa magari ya wagonjwa Madaba

Posted on: April 30th, 2024

Viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba wamemshukuru Rais Samia kwa kuleta Magari mapya 2 ya wagonjwa.

Katibu tawala Wilaya ya Songea Mtela mwampamba akikabidhi magari hayo kwa mwenyekiti wa Halmashauri Teofanes Mlelwa na Mkurugenzi Mtendaji Sajidu Idrisa Mohamed ambaye aliwakilishwa na Mkuu wa Idara ya Kilimo Joseph Mrimi amewaasa madereva wa magari hayo kuhakikisha yanatunzwa.

“Nitoe Maagizo kwa madereva watakaoendesha magari haya  wanatakiwa watunze haya magari yanagharama kubwa hii ni ofisi yenu msibebe mbao,mkaa wala magendo magari haya ni kwaajili ya wagonjwa”

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Teofanes Mlelwa  amemshukuru Rais Samia na Mbunge wa Jimbo la Madaba Joseph Mhagama  kwa kuleta magari hayo ambayo yatawasaidia wananchi kupata urahisi wa matibabu.

“Namshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutuletea Magari haya mawili yatatusaidia kwenye vituo vyetu vya Afya mimi kwa niaba ya Madiwani wote tunawashukuru sana”.

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Madaba

Aprili 30,2024.     

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • MARATIBU wa mradi wa BOOST Madaba amshukuru Rais Samia

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa