• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

SERIKALI kujenga Miundombinu ya umwagiliaji Mkoani Ruvuma

Posted on: July 25th, 2023

Serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Mh Rais *Dkt. Samia S. Hassan* imetenga fedha katika bajeti ya mwaka 2023/24 kwa ajili ya utekelezaji mkubwa wa miradi ya umwagiliaji katika bonde la Mto Ruvuma,Ruhuhu na Litumbandyosi yaliyopo mkoani Ruvuma.

Hayo yamesemwa jana na Naibu Waziri wa Kilimo *Mh. Anthony Mavunde* wakati wa ziara ya Makamu wa Rais *Mh.Dkt. Philip Isdor Mpango* katika Wilaya za Nyasa na Mbinga,Mkoani Ruvuma.

Akizungumza na wananchi wa wilaya za Mbinga na Nyasa,Makamu wa Rais Dkt. Mpango aliwapongeza wakulima wa Mkoa wa Ruvuma kwa mchango wao mkubwa kwenye usalama wa chakula hapa nchini kutokana na uzalishaji mkubwa wa mazao ya nafaka hasa mahindi na kutumia fursa hiyo kuitaka Wizara ya Kilimo ieleze jinsi ilivyojipanga katika utekelezaji wa miradi ya umwagiliaji.


Akitoa maelezo ya Wizara ya Kilimo Naibu Waziri Mavunde  Mavunde amesema Serikali itaendelea kusimamia utekelezaji wa miradi mikubwa ya umwagiliaji mkoani Ruvuma ili kuongeza uzalishaji wa mazao.

-Kwa mwaka wa fedha 2023/24 Serikali itafanya upembuzi yakinifu na usanifu wa kina na ujenzi wa miumbombinu ya Umwagiliaji katika Bonde la Mto Ruvuma lenye jumla ya hekta *26,066*,Mto Ruhuhu lenye hekta *3,700* na Litumbandyosi hekta *900* pamoja na uchimbaji wa mabwawa makubwa matano(5) na ukarabati wa skimu za umwagiliaji  katika wilaya mbalimbali za Mkoa wa Ruvuma.


Amesema wakulima Mkoa wa Ruvuma wamezalisha zaidi ya tani milioni 1 ya mahindi,ni mkoa ambao serikali itawekeza kiasi kikubwa kwenye kilimo cha umwagiliaji ili kuongeza uzalishaji wa mazao.

-Serikali itaendelea kusimamia upatikanaji wa soko la uhakika la mazao ya wakulima,na kwasasa Wakala wa Hifadhi ya Chakula(*NFRA*) wamefungua vituo *17* vya ununuzi wa Mahindi katika wilaya za Mkoa wa Ruvuma.

-Mbolea za Ruzuku zitaendelea kutolewa kama msimu uliopita,na kwasasa tumesajili vituo vingi zaidi vya mauzo ya mbolea ili wakulima wasiifute mbolea umbali mrefu kama ilivyokuwa msimu uliopita.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • UJENZI WA MADARASA 2 NA MATUNDU 6 YA VYOO SHULE YA MSINGI KIPINGO WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 100

    May 30, 2025
  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa