Sekondari mpya ya Kata ya Lituta Halmashauri ya Madaba Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma iliyogharimu shilingi 470.
mradi huu umetekelezwa na serikali kupitia program ya Uboreshaji Elimu ya Sekondari (SEQUIP) ambapo katika Mkoa wa Ruvuma kupitia program hiyo zimejengwa sekondari mpya 11 kwa gharama ya shilingi bilioni 7.7
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa